dr namugari
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 10,466
- 18,206
Mkuu dollar ndo inazidi kuimarika na stock exchange forex bayo. Kuimarika kwa dollar na stock exchange imeifanya dhahabu na crypto kupaa. Ndo maana Trump anaombea Dollar ishuke na stock exchange sasa hivi kabla ya uchaguzi na inampa Joe Biden credit ndo maana huwaaikii sasa hivi republicans wakiongelea sana uchumi kwe campaign zao wamebase kwenye immigration na uzee wa joe biden.Ila pia dola imeshashuka value check gold ilivyoenda juu ni gharama mno saivi gold. Mana huwa ziko inverse proportion. Gold juu benjas down or vice versa.
Sidhani Kama Ni iyo eti sarafu yao imeimarika
Yes, ni kweli gold iko juu na stocks zimepanda mno kwa awamu hii Mana Mara ya mwisho high price ya Dow jones ilifika 36900+ Ila saivi imegusa high kabisa 40063.Mkuu dollar ndo inazidi kuimarika na stock exchange forex bayo. Kuimarika kwa dollar na stock exchange imeifanya dhahabu na crypto kupaa. Ndo maana Trump anaombea Dollar ishuke na stock exchange sasa hivi kabla ya uchaguzi na inampa Joe Biden credit ndo maana huwaaikii sasa hivi republicans wakiongelea sana uchumi kwe campaign zao wamebase kwenye immigration na uzee wa joe biden.
Najua hapo kwenye gold mrangi anafurahi sana.