Habari, ndugu mteja na wadau wengine.Ethiopia bei ya umeme ni dola 0.006 kwa unit(Kwh). Hii ni kama Tsh 16! Hapa kwetu ni kama Tsh 300Kwh. Kama siyo miujiza ni nini?
View attachment 3636917
Umejibu kama mashine aisee ina maana hao Wa ET wao hawajafanya thamini kwa kuweka bei ndogo kwa kila unit ila ninyi ndio mnafanya thamini sio?..bei kuwa kubwa kuliko Nchi nyingi zinazotunguka ni kwa sababu kuna lundo la kodi kwenye umeme hizo nchi hazina 18% VAT kwenye manunuzi ya umeme wao wala kulipia kiwanja kwenye kupata mwanga..Habari, ndugu mteja na wadau wengine.
Swala la bei ni jambo la tathimini ambapo mamlaka inayosimamia huduma za maji na umeme ikijiridhisha kuhusu gharama za uwekezaji na uendeshaji inaweza kuja na mapendekezo ya kushusha au kupandisha kwa kuzingatia tathimini.
Lakini kwa ujumla hoja yako ni nzuri
Tunashukuru sana na asante. ^GK
Hata wachina "wanatorokea" Africa.WaEthiopia si wanatoroka sana kwao?
Habari ndugu mteja.Umejibu kama mashine aisee ina maana hao Wa ET wao hawajafanya thamini kwa kuweka bei ndogo kwa kila unit ila ninyi ndio mnafanya thamini sio..bei kuwa kubwa kuliko Nchi nyingi zinazotunguka ni kwa sababu kuna lundo la kodi kwenye umeme hizo nchi hazina 18% VAT kwenye manunuzi ya umeme wao..
LimekamilikaDuuh sema si wanasema Bwawa la Nyerere likikamilika bei itashuka
Sawa kiongozi bei ni kubwa mngetoa hizo Tozo sizizo na msingi kwenye Umeme fanyeni tathimini muone matumizi ya wateja wenu kama si taa na kuchaji simu wanatumia nini kingine huko kwenye AC,Fridge ni wachache kwenye kutumia Jiko la Umeme hakuna labda ninyi wafanyakazi pekee...Habari ndugu mteja.
Tafadhali tambua kua bei ya umeme inapangwa na mamlaka kwa kuzingatia gharama za uendeshaji na uzalishaji na mapendekezo yanayotolewa na wadau. Aidha Katika mchakato wake wananchi huwa wanatoa maoni kupitia kamati za watumiaji huduma husika kwa upande wa Umeme ni Ewura CCC.
Hata hivyo masuala yote ya kikodi ni ya kisheria kwa kila mtumiaji wa huduma. Pia ni VAT ni jambo la kisheria ambalo lipo kwenye huduma zote siyo kwenye umeme tu.
Pia ni vizuri kuzingatia ni bei ya umeme pekee haijaweza kubadilika tokea 2016 licha ya gharama mbali mbali kubadilika, ambazo kwa namna moja au nyingine zinaweza kuwa zimeongeza gharama au la!
Asante. ^GK
Umeme Tanzania umekuwa kama anasa,mamlaka kushusha bei hazionyeshi kulipa kipaumbele.Sawa kiongozi bei ni kubwa mngetoa hizo Tozo sizizo na msingi kwenye Umeme fanyeni tathimini muone matumizi ya wateja wenu kama si taa na kuchaji simu wanatumia nini kingine huko kwenye AC,Fridge ni wachache kwenye kutumia Jiko la Umeme hakuna labda ninyi wafanyakazi pekee...
Umeme wa maji unapatikana kwa gharama nafuu kuliko umeme wa nyuklia na umeme wa makaa ya mawe nadhani punguzeni bei watu wafurahisi uzinduzi wa Bwawa jipya..
hii nchi ina viongozi wa ajbu sana. hivi kama umeme upo mwingi mpo radhi upotee kuliko kuwapa wananchi wautumie kuzalisha? kama ni mapato si serikali itapata kupitia bidhaa zitakazozalishwa kwa kutumia umeme utakao kuwa nafuu? maana niliskia umeme ni mwingi sana na kutokana na kutokuwepo na technolojia ya kuutunza unaachwa upotee tu. AFRICA ni laana sana kwa kweliHabari, ndugu mteja na wadau wengine.
Swala la bei ni jambo la tathimini ambapo mamlaka inayosimamia huduma za maji na umeme ikijiridhisha kuhusu gharama za uwekezaji na uendeshaji inaweza kuja na mapendekezo ya kushusha au kupandisha kwa kuzingatia tathimini.
Lakini kwa ujumla hoja yako ni nzuri
Tunashukuru sana na asante. ^GK
Habari, ndugu mteja, na asante kwa kuwasiliana nasi.hii nchi ina viongozi wa ajbu sana. hivi kama umeme upo mwingi mpo radhi upotee kuliko kuwapa wananchi wautumie kuzalisha? kama ni mapato si serikali itapata kupitia bidhaa zitakazozalishwa kwa kutumia umeme utakao kuwa nafuu? maana niliskia umeme ni mwingi sana na kutokana na kutokuwepo na technolojia ya kuutunza unaachwa upotee tu. AFRICA ni laana sana kwa kweli
Mzee wa Ufafanuzi alisema TZ bei ipo chini ukilinganisha na nchi nyingine ,swala la kupunguza umeme ngoja waliangalie.Ethiopia bei ya umeme ni dola 0.006 kwa unit(Kwh). Hii ni kama Tsh 16! Hapa kwetu ni kama Tsh 300Kwh. Kama siyo miujiza ni nini?
View attachment 3636917
Watapita nae...!!natamani sana tuje tupate kiongozi anayeelewa nini maana ya kuwa na uchungu na nchi
Hivi unategemeaje bei ishuke wakati kila siku serikali inawasamehe Zanzibar kutolipa deni Tanesco wakati wao wanachukua umeme ba kuwauzia wananchi wao.
Ili Tanesco ijiendeshe inabidi iongeze bei kufidia hao wanaotaka kubebwabebwa.
Habari, ndugu mteja na wadau wengine.
Swala la bei ni jambo la tathimini ambapo mamlaka inayosimamia huduma za maji na umeme ikijiridhisha kuhusu gharama za uwekezaji na uendeshaji inaweza kuja na mapendekezo ya kushusha au kupandisha kwa kuzingatia tathimini.
Lakini kwa ujumla hoja yako ni nzuri
Tunashukuru sana na asante. Kwahyo tathimini hiyo ni ya muaka
Sisi wananch wa kawaida tutaendelea kutumia umeme kwa ajili kuwasha taa, friji kidogo, pasi kwa mbali, kuchaji simu kwa sana na kuangalia tv. Of course, na mkaa tutaendelea nao.Ethiopia bei ya umeme ni dola 0.006 kwa unit(Kwh). Hii ni kama Tsh 16! Hapa kwetu ni kama Tsh 300Kwh. Kama siyo miujiza ni nini?
View attachment 3636917