dr namugari
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 10,466
- 18,206
Hali iko vip pande hzo, hawali ilikuwa ni elf 2000 na Sasa inashuka kwa kaz kuna jamaa hapa kanitonya kuwa itashuka hadi kufikia Mia nane hadi wa tisa, mahind I ni mengi sna safari hii na mkulima kala chali tena kwani bei imekuwa sokoni wenda kuuza gunia kwa elf 20
Waziri wa kilimo hii siyo afya KWa mkulima je mnamsaidiaje Mkulim
Waziri wa kilimo hii siyo afya KWa mkulima je mnamsaidiaje Mkulim