Habar wadau. Leo asubuhi nimeamka nikiwa na ratiba zangu za kila siku. Ratiba ya kwanza ni kununua vitu vya shop na kuanza na ratiba zingine.
Nikampigia jamaa wa duka la jumla nikitaji sembe. Akaniambia kaka sembe imepanda kwa kuwa nilizoea elfu 41. Nikajua itakuwa elfu 42. Jamaa akasema hana ni elfu 48.
Sijajua shida ni nini?