Bei ya Unga kushuka kutoka Ksh. 230 hadi Ksh. 100 baada ya ruzuku ya Serikali

mwanamwana

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2011
Posts
1,309
Reaction score
4,798
Bei ya Unga wa mahindi nchini Kenya itashuka kutoka Ksh. 230-100 kuanzia leo Julai 18

Hii ni baada ya Serikali ya Kenya kutoa ruzuku kwa bei ya uzalishaji wa bidhaa hiyo kwa muda wa wiki 4.

Katika muda wa wiki 4, Wizara ya Kilimo italipa sehemu ya gharama ya kuzalisha Unga, ili kuwaepusha Wakenya kutokana na athari za kupanda kwa bei ya bidhaa hiyo.

-----

The price of Unga (Maize flour) in Kenya will drop from Ksh 230-100 from today.

This is after the Government of Kenya subsidised the price of production of the commodity for a period of 4 weeks.

In the 4 weeks, the Ministry of Agriculture will pay part of the cost of producing Unga, so as to cushion Kenyans from the effect of rise in the price of the commodity.

As a result of the subsidy, Unga will retail as follows;
  • 50 kg – 2250
  • 10 KG- Ksh 440
  • 5KG – Ksh 250
  • 2 KG – Ksh 100
  • 1 KG – Ksh 52
  • 500 grams- Ksh 30
The Ministry of Agriculture will further deploy a team to conduct market surveillance and ensure that the commodity is sold at the recommended price.

The recent subsidy follows one that would see the price of commodity reduce by Ksh 2 after Government’s bid to suspend the levies on imported maize.

On June 28, Agriculture Cabinet Secretary Peter Munya announced that the government will issue a directive suspending the levies that will lower the price of flour.

Then, the United Grain Millers Association (UGMA), an umbrella organization for both small and large-scale millers, said the move is insignificant and will have little impact on consumers.

"If we can have direct government talk to scrap export permit levy, then the price of maize will come down and this will impact on the cost of the final product," said UGMA chairman Ken Nyaga.

Source: Unga prices to drop from Ksh.230 to Ksh 100 after government subsidy
 
1658201087184.png

Serikali ya Kenya imepunguza bei ya Unga wa Mahindi kuwa Ksh. 100 (Tsh. 1,944) kwa kiroba cha Kilo Mbili kutoka Ksh. 210 (Tsh. 4,084) iliyokuwa awali, ili kukabiliana na mfumuko wa bei uliotokea hivi karibuni

Wizara ya Kilimo imefikia hatua hiyo ili kupunguza ukali wa maisha kwa Wananchi, ambapo kiroba cha Kilo Moja kitauzwa kwa Ksh. 52 (Tsh. 1011) na nusu Kilo ni Ksh. 30 (Tsh. 588).

===

Source: Citizen Digital
 
Alafu kuna baadhi ya watanzania, kwenye jukwaa hili, ambao walikuwa wanawaponda wakenya walioandamana hivi majuzi. Wakionesha gadhabu zao, kisa kupanda kwa gharama za bidhaa muhimu madukani. Wakidai eti wakenya wanaandamana kwasababu wana njaa.

Fujo na vurugu ndio lugha ambayo hawa viongozi huwa wanaielewa vyema. Usipokuwa na ujasiri wa kupaza sauti yako ili utetee maslahi yako, utabaki tu kulialia huku ukiendelea kudhulumiwa hadi siku ya kiyama.
 
ugali-man.jpg

Serikali ya Kenya imepunguza bei ya Unga wa Mahindi kuwa Ksh. 100 kwa kiroba cha Kilo Mbili kutoka Ksh. 210 iliyokuwa awali, ili kukabiliana na mfumuo wa bei uliotokea hivi karibuni.

Wizara ya Kilimo imefikia hatua hiyo ili kupunguza ukali wa maisha kwa Wananchi, ambapo kiroba cha Kilo Moja kitauzwa kwa Ksh. 52 na nusu Kilo ni Ksh. 30.

Source: Nation

------------------

Ugali is back! Maize flour to retail at Sh100

The government has cut maize flour prices to Sh100 for a 2-kilogram packet over the next month handing a timely relief to millions of Kenyans who are braving high inflation that has pushed up the prices of basic commodities.

The Ministry of Agriculture on Monday said it had inked a deal with millers to bring down the cost of flour which has been retailing at over Sh210 at major retail outlets in recent weeks further thinning the spending power of consumers.

Meanwhile, a 1-kilogram packet will retail at Sh52 and the 500-gram packet at Sh30.

“The Ministry of Agriculture shall subsidize the price of maize flour being produced/sold by the miller for a period of four (4) weeks from the date of this contract,” read part of the agreement the Ministry has inked with millers.

Serikali za watu kwa ajiri ya watu.

Huku kwetu akina Mwigulu hawana habari
 
Alafu kuna baadhi ya watanzania, kwenye jukwaa hili, ambao walikuwa wanawaponda wakenya walioandamana hivi majuzi. Wakionesha gadhabu zao, kisa kupanda kwa gharama za bidhaa muhimu madukani. Wakidai eti wakenya wanaandamana kwasababu wana njaa.

Fujo na vurugu ndio lugha ambayo hawa viongozi huwa wanaielewa vyema. Usipokuwa na ujasiri wa kupaza sauti yako ili utetee maslahi yako, utabaki tu kulialia huku ukiendelea kudhulumiwa hadi siku ya kiyama.
Hapo wakunya mmejitaidi ..sijui sisi huyu mpumbavu wetu sisi watz atafanya kitu gani chema kwa nchi yetu , cheki nchi kama saudi arabia inanunua mafuta urusi wakati sisi serikali ya samia inafanya kazi ya kunya tu ofisini
 
View attachment 2296039
Serikali ya Kenya imepunguza bei ya Unga wa Mahindi kuwa Ksh. 100 kwa kiroba cha Kilo Mbili kutoka Ksh. 210 iliyokuwa awali, ili kukabiliana na mfumuo wa bei uliotokea hivi karibuni.

Wizara ya Kilimo imefikia hatua hiyo ili kupunguza ukali wa maisha kwa Wananchi, ambapo kiroba cha Kilo Moja kitauzwa kwa Ksh. 52 na nusu Kilo ni Ksh. 30.

Source: Nation

------------------

Ugali is back! Maize flour to retail at Sh100

The government has cut maize flour prices to Sh100 for a 2-kilogram packet over the next month handing a timely relief to millions of Kenyans who are braving high inflation that has pushed up the prices of basic commodities.

The Ministry of Agriculture on Monday said it had inked a deal with millers to bring down the cost of flour which has been retailing at over Sh210 at major retail outlets in recent weeks further thinning the spending power of consumers.

Meanwhile, a 1-kilogram packet will retail at Sh52 and the 500-gram packet at Sh30.

“The Ministry of Agriculture shall subsidize the price of maize flour being produced/sold by the miller for a period of four (4) weeks from the date of this contract,” read part of the agreement the Ministry has inked with millers.

Source: Nation
Huyu jamaa huwa analipwa kwa picha yake kutumika hovyo hovyo? Namshauri apeleke gazeti la Nation kortini kwa kutumia picha yake bila idhini na kujishindia mamilioni.
 
Bei ya Unga wa mahindi nchini Kenya itashuka kutoka Ksh. 230-100 kuanzia leo Julai 18

Hii ni baada ya Serikali ya Kenya kutoa ruzuku kwa bei ya uzalishaji wa bidhaa hiyo kwa muda wa wiki 4.

Katika muda wa wiki 4, Wizara ya Kilimo italipa sehemu ya gharama ya kuzalisha Unga, ili kuwaepusha Wakenya kutokana na athari za kupanda kwa bei ya bidhaa hiyo.

-----

The price of Unga (Maize flour) in Kenya will drop from Ksh 230-100 from today.

This is after the Government of Kenya subsidised the price of production of the commodity for a period of 4 weeks.

In the 4 weeks, the Ministry of Agriculture will pay part of the cost of producing Unga, so as to cushion Kenyans from the effect of rise in the price of the commodity.

As a result of the subsidy, Unga will retail as follows;
  • 50 kg – 2250
  • 10 KG- Ksh 440
  • 5KG – Ksh 250
  • 2 KG – Ksh 100
  • 1 KG – Ksh 52
  • 500 grams- Ksh 30
The Ministry of Agriculture will further deploy a team to conduct market surveillance and ensure that the commodity is sold at the recommended price.

The recent subsidy follows one that would see the price of commodity reduce by Ksh 2 after Government’s bid to suspend the levies on imported maize.

On June 28, Agriculture Cabinet Secretary Peter Munya announced that the government will issue a directive suspending the levies that will lower the price of flour.

Then, the United Grain Millers Association (UGMA), an umbrella organization for both small and large-scale millers, said the move is insignificant and will have little impact on consumers.

"If we can have direct government talk to scrap export permit levy, then the price of maize will come down and this will impact on the cost of the final product," said UGMA chairman Ken Nyaga.

Source: Unga prices to drop from Ksh.230 to Ksh 100 after government subsidy
Hivi serikali ya tz haiwezi toa ruzuku kwenye hizi bundle za Internet?.. maana kama unga tunao.. mafuta walishafeli [emoji23] [emoji23]
 
Alafu kuna baadhi ya watanzania, kwenye jukwaa hili, ambao walikuwa wanawaponda wakenya walioandamana hivi majuzi. Wakionesha gadhabu zao, kisa kupanda kwa gharama za bidhaa muhimu madukani. Wakidai eti wakenya wanaandamana kwasababu wana njaa.

Fujo na vurugu ndio lugha ambayo hawa viongozi huwa wanaielewa vyema. Usipokuwa na ujasiri wa kupaza sauti yako ili utetee maslahi yako, utabaki tu kulialia huku ukiendelea kudhulumiwa hadi siku ya kiyama.

Siku ambayo mtapaza sauti mpaka mabeberu wazawa wakawapa ardhi nanyi mnufaike ndiyo uje kuongea hayo. Vinginevyo nyie ni wa kuonewa huruma, maana viongozi wenu wanawacheka tu kwa kuwa wanawanyonya na hamna cha kuwafanya.
 
Siku hizi kazi yake kubwa ni kutangaza bei ya unga.
20220720_204231.jpg
 
Huyu jamaa huwa analipwa kwa picha yake kutumika hovyo hovyo? Namshauri apeleke gazeti la Nation kortini kwa kutumia picha yake bila idhini na kujishindia mamilioni.
Baada ya vunja vunja ya askari wa jiji na kuwatawanya mama ntilie ,jamaa amjishindia Ugali. Njaa shida,njaa haina bouncer.
 
Back
Top Bottom