Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Aiseeeee!!!!Kama unagari litunze usiuze .
Ehe dp word walitoa hela nyingi kuhonga spika, wabunge mashekhe. na akina abdul wanataka hela ya campaignTaarifa ikufikie popote ulipo kwamba , Shipping line wamepandisha bei ya kusafirisha mizigo katika kile kinachoitwa sababu zisizozuilika.
Taarifa zao hizi hapa
View attachment 2993888View attachment 2993889
Toa maoni yako
Inasikitisha sana!Ehe dp word walitoa hela nyingi kuhonga spika, wabunge mashekhe. na akina abdul wanataka hela ya campaign
Lazima shipping line zipandishe ushuru
Hili jambo watu wanalichukulia poa lakini moto wake si mdogo.The new zimbabwe
Wanyonge hawana noma na ccmWananchi wa kawaida hawajui haya. Bora Serikali ikajipanga isije wananchi katika chaguzi zijazo wakaipigia kura isiyotosha.
Ni hatari mnoHili jambo watu wanalichukulia poa lakini moto wake si mdogo.
Nilikuwa naangalia hilo ongezeko la kutoka USD 2500 mpaka USD 6000 , hii ni dhahama kabisa ,maana hapo ni ongezeko la zaidi ya asilimia mia kwenye gharama za kusafirisha contena la bidhaa .Hili jambo watu wanalichukulia poa lakini moto wake si mdogo.
HakikaNilikuwa naangalia hilo ongezeko la kutoka USD 2500 mpaka USD 6000 , hii ni dhahama kabisa ,maana hapo ni ongezeko la zaidi ya asilimia mia kwenye gharama za kusafirisha contena la bidhaa .
Hapo inflation inayokuja itakuwa ni mtafutano mithiri ya Zimbabwe , na ninashangaa kwanini hata watu hawajawa alerted na hii kitu .
Watu wapo tiktok na instagram kujadili upuuzi .
Hata humu jamii forum hii issue ilitakiwa kuwa headline humu .