Bei ya ushuru tra ya ist-2004

Bei ya ushuru tra ya ist-2004

ChaterMaster

JF-Expert Member
Joined
Aug 17, 2009
Posts
1,623
Reaction score
803
KWA WALE WATAALAM WA CLEARING AND FORWAD NAOMBA MNIAMBIE BEI YA USHURU NINAYOTAKIWA KULIPA KWA GARI YANGU HII INAWASILI WK IJAYO
PLZ NAOMBA MAJIBU YA UHAKIKA MAAN NMETOKA KWA AGENT AMENIPANIKISHA MNO CJUI NDO AMESHAPIGA NA CHA KWAKE...

Toyota Ist -2004 yr/11mounth-----cc.1300
km-68,000
CIF - 3427
 
Mkuu kwa picha ya haraka haraka andaa kama milioni 5.5. Sina ozoefu lakini nimekomboa ka kwangu juzi. Cif ilikuwa 2700 ila mchakato na vigarama vingine vilinigarimu kama total of 4.9milion. Ni picha ya haraka mkuu nina imani inaweza kukupa mwanga kidogo.
 
thx mkuu ila nataka bado nipate tentative bei
 
KWA WALE WATAALAM WA CLEARING AND FORWAD NAOMBA MNIAMBIE BEI YA USHURU NINAYOTAKIWA KULIPA KWA GARI YANGU HII INAWASILI WK IJAYO
PLZ NAOMBA MAJIBU YA UHAKIKA MAAN NMETOKA KWA AGENT AMENIPANIKISHA MNO CJUI NDO AMESHAPIGA NA CHA KWAKE...

Toyota Ist -2004 yr/11mounth-----cc.1300
km-68,000
CIF - 3427
CharterMaster, Sijakupata vizuri ulivyosema "…2004yrs/11months…" una maana gani!
Nauliza hivyo ili kujua kama gari hilo lilisajiliwa kwa mara ya kwanza 2004 mwezi Novemba au la, kwani inaweza kuleta tofauti kubwa sana ya kama TZS 2,045,000.00 kwa exchange rate ya 1USD = 1600TZS
Kwa kifupi nina maana ya kwamba, kama gari ina umri zaidi yamiaka 10 basi utalipa extra payment ya karibu TZS TZS 2,045,000.00 kutokana na kodi ya uchakavu.
Ila kama gari yako ilisajiliwa Mwezi November 2004 basi ina maana haijatimiza miaka 10 bado hivyo utapata unafuu Zaidi.
Sasa hebu tuchukulie scenario zote mbili:

Scenario 1:
TOYOTA IST – umri zaidi ya miaka 10.

a) Ushuru wote wa TRA (pamoja na Road licence) = USD 3,357.65
Lakini hapo hujamaliza bado kwaniunatakiwa ulipe yafuatayo:
b) Local Shipping line charges (approximately) = USD 80.00
c) Ushuru wa Bandari = USD 147.30
d) Other logistical charges = USD 213.75
e) Agency Fee (including VAT) = USD 236.00
Total = USD 4,034.70

Gharama hizo ni sawa na TZS 6,470,800.00

Scenario 1:
TOYOTA IST – umri zaidi ya miaka 10.

a) Ushuru wote wa TRA (pamoja na Road licence) = USD 2,088.89

b) Local Shipping line charges (approximately) = USD 80.00
c) Ushuru wa Bandari = USD 147.30
d) Other logistical charges = USD 213.75
e) Agency Fee (including VAT) = USD 236.00
Total = USD 2,765.94

Gharamahizo ni sawa na TZS 4,425,504.00

Kwa kujua mdadafuo wake angalia pdf document niliyoiambatanisha hapo.
Gharama hizo zinajumlisha mpaka Thirdy party Insurance na number plate. Yaani hapo unakuwa barabarani bila kuongeza chochote mpaka mwaka uishe unless unataka kukata comprehensive insurance which may cost you around TZS 350,000.00 for scenario ya kwanza na around TZS 300,000.00 scenario ya pili.
Ushauri.
1. Kama gari linaingia wiki ijayo basi ni vizuri ukamuona Clearing Agent aanze kushughulikia sasa hivi kwani ukichelewa utakuja kukumbana na gharama za storage tena. Gharama hizo huwa pande zote yaani TRA wanakuchaji na TPA wanakuchaji!
2. Ni vizuri ukajua gharama hizo kabla ya kuagiza gari kwani itakusaidia kujua kama utaweza kulipa gharama zote au la na itakuondolea ku-panic. Kama kama umeshindwa kulipa ndo linaishia kupigwa mnada ili wapate chao na wanaweza uza kwa bei yoyote ile as long as wamepata chao. Mtu yeyote akitaka kujua gharama zote basi anaweza akawasiliana namimi na nitampa ushauri bure. Napatikana kwenye 0754 787 775 au gck@ksonsfreight.co.tz
Kila la heri.
 
Attachments

Back
Top Bottom