ichumu lya
JF-Expert Member
- Aug 11, 2016
- 2,651
- 2,790
Waliosemaga kilo ya vanilla ni 1mKama kichwa kilivyo yaani hii nizaidi ya hatari Mkulima ni chombo cha kudharauliwa nchini. Serikali ilitangaza bei ya soko Tsh.15, 000/ lakini wanunuzi wanalipa Tsh.3, 000/(elfu tatu)kwa kilo moja na kwakua VANILLA hailiwi kama chakula inabidi wauze vyovyote ili kuondoa mzigo ndani. Ni aibu kwa serikali, niaibu kwa CCM na aibubu kwa Wabunge wote wa mkoa wa Kagera, wananchi amkeni hamna watetezi ni mwendo wa kupigania matumbo yao.
Aya yanafanyika uku uongozi wa mkoa upo, Usalama wa Taifa upo na uhuni unafanyika mchana kweupe.View attachment 2691984View attachment 2691983
Hayo ni mabungo ya mchongo mkuuSasa hivi nasikia kilo moja ya mabungo ni shilingi 800,000 wakati kilo ya embe ng'ongo imefikia shilingi 720,000/-.
Tuhamieni huku jamani, mtanishukuru baadaye...pumbavu kabisa.
Bei ya vanilla kwa kilo hapa ujerumani ni 320€ ambayo ni sawa na laki nane na zaidi Tzs. Hapo kwa kweli mkulima wa Tz amedharauliwa kama siyo kuonekana hana maanaKama kichwa kilivyo yaani hii nizaidi ya hatari Mkulima ni chombo cha kudharauliwa nchini. Serikali ilitangaza bei ya soko Tsh.15, 000/ lakini wanunuzi wanalipa Tsh.3, 000/(elfu tatu)kwa kilo moja na kwakua VANILLA hailiwi kama chakula inabidi wauze vyovyote ili kuondoa mzigo ndani. Ni aibu kwa serikali, niaibu kwa CCM na aibubu kwa Wabunge wote wa mkoa wa Kagera, wananchi amkeni hamna watetezi ni mwendo wa kupigania matumbo yao.
Aya yanafanyika uku uongozi wa mkoa upo, Usalama wa Taifa upo na uhuni unafanyika mchana kweupe.View attachment 2691984View attachment 2691983
Yule Jamaa wa Vannila international anae nununa kilo ya Vannila 1M yuko wapi aje ajichukulie mzigo huo wa afu3
Yule Jamaa wa Vannila international anae nununa kilo ya Vannila 1M yuko wapi aje ajichukulie mzigo huo wa afu3
Ilitangaza hio bei kwa vigezo gani ?Kama kichwa kilivyo yaani hii ni zaidi ya hatari, Mkulima ni chombo cha kudharauliwa nchini. Serikali ilitangaza bei ya soko Tsh. 15, 000/
Supply and demand has been tested again and again; Price planning ilishajaribiwa sana na matokeo yake huwa mabaya...; wengi walijaribu kupanga bei ya vitu ila mwisho wa siku inashindikana unless wewe unajua bei sehemu nyingine au soko la ulaya ni kiasi gani ila mara nyingi bei ya soko ndio bei sahihi kwa wakati huolakini wanunuzi wanalipa Tsh. 3,000/ (elfu tatu)kwa kilo moja na kwakua Vanilla hailiwi kama chakula inabidi wauze vyovyote ili kuondoa mzigo ndani.
Sasa unataka wainunue kwa kodi zetu / ruzuku ili waende kuiuza pengine kwa faida au waitunze kusubiri bei ipande au kuoza ?Ni aibu kwa serikali, niaibu kwa CCM na aibubu kwa Wabunge wote wa mkoa wa Kagera, wananchi amkeni hamna watetezi ni mwendo wa kupigania matumbo yao.
Aya yanafanyika huku uongozi wa mkoa upo, Usalama wa Taifa upo na uhuni unafanyika mchana kweupe.