wiseman734
Senior Member
- Apr 29, 2018
- 137
- 210
Naungana na wewe....nimenunua dangote 14000 leo..twiga extra nimepata kwa 13500..maduka mengine 15000Inategemea na maeneo ndugu yangu bei ya cement
Kwa mfano mim jana nimetoka kununua cement kwa elf 14500 ila chaa ajabu Duka la mtaa huo huo wanauza cement 15000 mpaka 16000 elf
Sent using Jamii Forums mobile app
Wapi huku uliponunua!!!???Naungana na wewe....nimenunua dangote 14000 leo..twiga extra nimepata kwa 13500..maduka mengine 15000
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni matokeo ya uchumi kukua kwa kasi.Serikali itusaidie sisi wananchi wa kipato cha chini tunapoelekea tunashindwa hata kujenga, bei za vifaa vya ujenzi inapaa kila uchao, yaani leo hii bei ya mfuko wa cement ni elfu 17 hapa kibaha mjini, nondo mm 12 zinauzwa sh 21000/=
Je ni hawa wenye maduka wamejipangia bei!? Mh raisi tunaomba utupie macho huku maana sisi wananchi wako tunashindwa kumudu
Nyumba yako ina raha yake....Ndio maana mimi nimeacha kujenga nimeona bora nipange.