Bei ya vifaranga vya broiller kwa Mwanza???

Bei ya vifaranga vya broiller kwa Mwanza???

Ngamba

JF-Expert Member
Joined
Jun 6, 2013
Posts
750
Reaction score
151
Wajasilimali naombeni kujua bei ya vifaranga vys broiller kwa mwanza, vinauzwa shillingi ngapi kwa sasa??

Nitashukuru sana kwa msaada , najipanga nigependa kuanza biashala ya ufugaji wa kuku wanyama
 
nenda pale kwenye keep left ya samaki kuna duka pale wanauza au mtaa wa msikiti wa LUMUMBA
 
Back
Top Bottom