Bei ya vitunguu

Bei ya vitunguu

CHAPUNGA

Member
Joined
Jun 26, 2011
Posts
6
Reaction score
2
Jamani naomba kujua kama kuna mtu amewahi uza vitunguu miezi ya januari na februari, Bei zake huwa zikoje?? mwenye taarifa sahihi anisaidie bei huwa zikoje miezi hiyo
 
Bei 150,000, 180,000 hadi 200,000/= ndio peak ya soko la onion mkuu
 
Back
Top Bottom