Bei ya Water pump Ndogo (Manual)

Humilis

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2015
Posts
889
Reaction score
1,070
Habarini wadau..
Kwa anayefahamu bei za water pumps ndogo(manual) na upatikanaji wake naomba anifahamishe tafadhali...nina shida nayo.
 
Pedro ni za uhakika 0.5hp 110,000/=+vat
 
Naomba na mimi niingilie kati, je gharaama za uchimbaji wa kisima kwa huku dar zikoje?
 
Ingawa hujafafanua sana hii water pump ni kwa matumizi gani,Pedrolo ya Italy ndio mwisho wa matatizo kwa matumizi ya majumbani.
 
Kwa ajili ya kumwagilia bustani ndogo...(robo hekari)...Vipi ufanisi wa hiyo pump?ni bei gani?
 
Mimi pia natafuta pump kwa ajili ya shamba la majani ya ngombe. Natafuta SOLAR PUMP kwa sababu shambani hakuna uneme na diesel ni gharama in long term
 
Kwa upande wa gharama za uchimbaji wa kisima inategema na ww unataka cha mita ngapi kuchmbiwa,lkn in short tuwasiliane kupitita namba 0753918347
 
Kisima cha urefu wa standand ni mita ngapi???
 
Kwa upande wa gharama za uchimbaji wa kisima inategema na ww unataka cha mita ngapi kuchmbiwa,lkn in short tuwasiliane kupitita namba 0753918347

Kisima cha urefu wa standand ni mita ngapi??? and gharama za uchunguzi kama kuna maji ni bei gani???
 
Kabla ya kuchimba mr ngamba huwa tunafanya kwanza savey ili kujua kama maji yapo au laaa,nisije kukuchimbia kisima kikakata kwa muda mfupi tu itakuwa siyo sa sijui we unataka kuchimba kisima maeneo ya wapi?
 
Mfano kwa mwanza mnachimbia bei gani, pia savey mnayofanya inalipiwa au bure, naje ukifanya savey ikaonekana hakuna maji na mteja hana eneo jingine mnafanyaje mtamdai gharama yeyote?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…