liverpool 1
Member
- Oct 13, 2014
- 79
- 11
Ok,upo sawa NAPENDA iko hivi kwa upande wetu cc tunachimba visima(borehole) kwa kutumia mashine nakufanya casing ,in short ni visima vya kisasa na sio hivyo vya kuteka maji kwa kutumia kamba,maana visima hivi nivyakuweka pump itakayotumia umeme na xo kamba tena
Dafo sarvey ni laki tano ,kwa mita tunachimba 60000/=