Naomba anayefahamu bei za jumla na rejareja za bales za mitumba za grades tofauti (grades A, B, C) tafadhali anifahamishe. Kama kuna namna mbadala ya ku-calculate bei, mfano Tshs per kg, ningeomba kufahamu pia. Ushuru wake unakuwaje mzigo ufikapo bandarini?