D dav22 JF-Expert Member Joined Feb 22, 2012 Posts 1,887 Reaction score 312 Mar 7, 2015 #1 Wanajamvi habari ya kushinda,naomba mwenye ufahamu anifahamishe bei ya hizi basi za eicher au tata kama wazotumia UDA zinaenda kwa bei gani.
Wanajamvi habari ya kushinda,naomba mwenye ufahamu anifahamishe bei ya hizi basi za eicher au tata kama wazotumia UDA zinaenda kwa bei gani.
Temu Son JF-Expert Member Joined May 24, 2013 Posts 251 Reaction score 61 Mar 7, 2015 #2 Mali kutoka india ngoja tusubiri wahusika
D dav22 JF-Expert Member Joined Feb 22, 2012 Posts 1,887 Reaction score 312 Mar 7, 2015 Thread starter #3 Temu nilidhani unajua bei
B Bonge JF-Expert Member Joined Aug 29, 2007 Posts 1,120 Reaction score 877 Mar 7, 2015 #4 70ml - 80mil ....eicher wanakubali nusu ..nyingine unamalizia taratibu. Nenda ofisi zao pale vingunguti karibu na kiwanda cha pepsi.
70ml - 80mil ....eicher wanakubali nusu ..nyingine unamalizia taratibu. Nenda ofisi zao pale vingunguti karibu na kiwanda cha pepsi.
D dav22 JF-Expert Member Joined Feb 22, 2012 Posts 1,887 Reaction score 312 Mar 7, 2015 Thread starter #5 Bonge said: 70ml - 80mil ....eicher wanakubali nusu ..nyingine unamalizia taratibu. Nenda ofisi zao pale vingunguti karibu na kiwanda cha pepsi. Click to expand... Aisee bonge hiyo inakuwa ni aina gani yale marefu au zile fupi??
Bonge said: 70ml - 80mil ....eicher wanakubali nusu ..nyingine unamalizia taratibu. Nenda ofisi zao pale vingunguti karibu na kiwanda cha pepsi. Click to expand... Aisee bonge hiyo inakuwa ni aina gani yale marefu au zile fupi??
M mzee wa manzese JF-Expert Member Joined Oct 31, 2012 Posts 670 Reaction score 216 Mar 7, 2015 #6 Ukiongeza 20 siunapata yutong ya mkopo
D dav22 JF-Expert Member Joined Feb 22, 2012 Posts 1,887 Reaction score 312 Mar 8, 2015 Thread starter #7 mzee wa manzese said: Ukiongeza 20 siunapata yutong ya mkopo Click to expand... Zinazohitajika ni hizo eicher au tata sio yutong ndo maana
mzee wa manzese said: Ukiongeza 20 siunapata yutong ya mkopo Click to expand... Zinazohitajika ni hizo eicher au tata sio yutong ndo maana
B ben van mike JF-Expert Member Joined Aug 27, 2010 Posts 467 Reaction score 190 Mar 8, 2015 #8 Hizi eicher sio Mbaya na yutong nusu ina maana 60 alafu 60 kwa mkopo ni hapo hapo vingunguti au