Bei za bati za kawaida za araf

Mkwanga

Senior Member
Joined
Dec 6, 2010
Posts
146
Reaction score
20
jaman naonmba msaada mtu
anayejua bei ya bati za araf hizi za kawaida pale kiwandan zinauzwaje na wanauza kuanzia ngapi
 
Inaelekea huku jf watu wamepanga tu hawajui bei za mabati
 
Inaelekea huku jf watu wamepanga tu hawajui bei za mabati
Kwanini usidhani au kufikiri kuwa hawakutumia hizo bati ambazo mtoa mada ameziulizia maana kujenga sio lazima utumie hizo bati zipo za aina nyingi sana, hizi sio enzi zile kaka kwamba bati ni zaina moja tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…