Top gun maverick
JF-Expert Member
- Dec 10, 2017
- 2,092
- 2,923
Nimependa huu msemo"money speaks one language if you save me today I will save you tomorrow"
Kwa uchache uwe na TZS. 1.5M to 1.7M inategemea ni wapi/ mkoa upi unanunulia hiyo pikipikimpya aina ya Sunlg,hachue,ila mpaka Sasa nimesave 1million,ila naomba kujua Bei zake halisi
DSM mkuuNimependa huu msemo
Kwa uchache uwe na TZS. 1.5M to 1.7M inategemea ni wapi/ mkoa upi unanunulia hiyo pikipiki