Habari zenu wakuu,
Binafsi nilikua naomba kujua bei za madini ya copper ore na moonlight stone kwa tonne (per tonne) kwenye soko la dunia. Kama kuna anayeweza nipatia links/website za information concerning hayo madini ntashukuru sana. Nakaribisha maoni yenu wakuu concerning haya madini na biashara hii....upatikanaji wake, mining & extraction, world market prices etc.
Thanks in advance