Rich Dad JF-Expert Member Joined Dec 15, 2010 Posts 748 Reaction score 135 Jan 17, 2011 #1 Wana JF naombeni mwenye kujua market price kwa Tanzania anijulishe ( VAT Inclusive)
Rich Dad JF-Expert Member Joined Dec 15, 2010 Posts 748 Reaction score 135 Jan 18, 2011 Thread starter #2 mod msaada wa ku-delete hii post nimeshajuwa bei>
kisu JF-Expert Member Joined Mar 31, 2009 Posts 1,045 Reaction score 442 Jan 18, 2011 #3 Sasa wewe umejua, hutaki wenzio wakajua? Tuelimishe basi?
Inkoskaz JF-Expert Member Joined Nov 6, 2010 Posts 6,361 Reaction score 2,378 Jan 18, 2011 #4 kisu said: Sasa wewe umejua, hutaki wenzio wakajua? Tuelimishe basi? Click to expand... ukiweka kitu hapa hadharani ujue ni kwa manufaa ya wote hata wale ambao ni watazamaji tu
kisu said: Sasa wewe umejua, hutaki wenzio wakajua? Tuelimishe basi? Click to expand... ukiweka kitu hapa hadharani ujue ni kwa manufaa ya wote hata wale ambao ni watazamaji tu
Lawkeys JF-Expert Member Joined Nov 16, 2009 Posts 1,118 Reaction score 287 Dec 7, 2011 #5 WADAU- Kama unafahamu bei za hizo mashine nifahamishe.
M Muhunjia Member Joined May 13, 2008 Posts 8 Reaction score 0 Dec 7, 2011 #6 Wapi wanauza IPad in Dar es Salaam?