Bei za jumla kwa vifaa vya ujenzi

Bei za jumla kwa vifaa vya ujenzi

kalooo son of Kambarage

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2016
Posts
275
Reaction score
181
Habari zenu wadau!

Naomba kuuliza bei ya jumla ya vitu vifuatavyo kwa mahitaji ya kufungua duka la vifaa ujenzi.

1. Mabati
2. Nondo
3. Mirunda
4. Binding wire
5. Misumari
6. Mbao na vitu vingine vinavyohusu ujenzi ikiwezekana na sehemu ambapo nitavipata kwa pamoja.
 
Hbari nahitaji kufahamu wapi napata warning tapes
1589100922828.png
 
Mcheki Mama wahenga pale Buguruni, ndo supplier mkubwa .
 
Back
Top Bottom