kalooo son of Kambarage
JF-Expert Member
- Jun 14, 2016
- 275
- 181
Contact muhimNi ngumu kuvipata vyote sehemu moja ila naweza kukuunganisha na wauzaji. binafsi ni ( sales man) mfanyakazi wa kiwanda cha mabati hivyo unaweza kupata bati toka kwangu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mshana Jr Kindly help.Hbari nahitaji kufahamu wapi napata warning tapes View attachment 1445714