Bei za mabasi

mpingauonevu

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2012
Posts
621
Reaction score
433
Wazee ninakapesa fulani Mungu amenipatia lakini nataka kuwekeza kwenye biashara ya basi za abiria. Hivyo wapendwa wangu naomba ushauri
1. Bei za marcopolo ni TSHS ngapi? na bei ya YOUTONG ni kiasi gani?
2. Je ni basi gani ni imara ili nisiingie hasara likafa haraka?
3. Kama ni body za kuchonga bei zake zinaendaje na kampuni gani nzuri?
kwa wenye uzoefu je biashara ya mabasi inalipa?
mtaji wangu ni Milion 370. je inaweza nipatia mabasi mawili? maono yangu ni nilitaka kujaribu njia ya DAR -Arusha
 
Marcopolo 700Mil

Youtong 250 - 300 mil

Marcedes 800 Mil

Nakushauri nunua youtong, hela yako itarudi mapema.

Kwa hiyo budget sidhan kama utaweza hii biashara kwasababu utatakiwa kulipa insuarance ambayo si ya kitoto, kuna vipesa vitakutoka hapo vingivingi.

Kwa hiyo pesa nakushauri ununue Min buses za TATA au EICHER kama ma4 hivi yanauzwa 70Mil. Upige rote za mbezi - kkoo au mbezi - mwenge. Kwa mwaka unarudisha hela yako na mtaji utakuwa mkubwa na utakuwa umepata experience ya jinsi ya kufanya biashara ya mabus.

Updates:

Kutokana na kuwepo kwa mabus ya mwendokasi, route za mwenge na kkoo ni kama hazipo.

Kwahiyo, nunua Eicher moja na nyingine unakopeshwa, zipeleke mikoani ambapo utapata routes mfano, moro-dom au dom-singida au moro-mvumero etc.

Ukiziweka dar kwa usawa huu itakula kwako. Biashara utaiona chungu.
 
 

Mkuu, hapa inabidi uwe specific. Kwanza, Marcopolo si aina ya basi, bali ni kampuni ya kutengeneza bodi za mabasi yenye makao yake makuu nchini Brazil. Mabasi yanayotumika Tanzania yakiwa na bodi za Marcopolo ni Scania, Mercedes-Benz na Tata. Pili, Yutong ina aina (model) nyingi za mabasi ingawa aina inayotumika sana Tanzania ni ZK6116D (yenye injini mbele).
 
nenda kilombero kalime
Hapo ndio atafilisika kabisa,
Nani kakwambia Kilimo kinalipa hapo jamaa yangu umemtupa kaburii kabisa.
hebu msaidie aje huku Dodoma kuna Mabasi ya kina Shukrani, Champion Shabibya au hata Mshikamano
cha kufanya kwa hizo 370m anunue mabasi 2 aweke Injini 2 mpya naye ajulikane mpingauonevu BUS SERVICE
 
Last edited by a moderator:

Hata Marco Polo ziko aina nyingi za bodi pia kama ANDARE,TORINO,IGLAS,VIAGGIO


 
Ningekuwa wewe ningeenda kenya wanatengeneza buses safi sana good example ni zile buses za leina tours
Kuna kampuni inaitwa Masters wanatengeneza very luxuary bodies na wanakuwekea engine ya scania 114, F330
Au Engine ya scania 124L,Bei zao kwa hela yako unaweza kupata bus hata 3 za maana.
 

Pitiamo http://www.masterfabricators.co.ke/
 

au Malva wako vizuri pia.
 

chukua ushahuri huo hapo juu...vinginevyo kama unamzuka na mabasi ya masafa...jaribu second hand ila ukubali kupata uchizi mapema.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…