Bei za machine hizi...

Bei za machine hizi...

Mwala J

Member
Joined
Jan 20, 2013
Posts
62
Reaction score
40
Habari wanajukwaa napata hiz machine kwa bei gani? Kama kuna mtu anajua bei zake anijuze, Multpurpose coppier, Scaner, Printer, Lamination and Binding.
 
iategemea unataka kutoka kiwanda gani, ukubwa gani na yenye waranty gani? kuna printer kuanzia elfu 40 mpaka mamilioni, vivyo pia kwa scanner ,hata photocopy. na kuna zingine laki na nusu inakuta ni scanner,printer na photocopy all in one. ila sasa kuna suala la wini,speed na vitu vingine
 
Ni swali gumu sana maana hujfafanua kila aina ya machine inategemeana na matumizi.

We unahitaji Kwa matumizi yapi na iwe colour au black and white?

Mimi ndo biashara yangu na Kwa sababu wewe ni Mwana JF mwenzangu nitakupa Kwa bei ya jumla.

afredmkohiatgmaildotcom
 
iategemea unataka kutoka kiwanda gani, ukubwa gani na yenye waranty gani? kuna printer kuanzia elfu 40 mpaka mamilioni, vivyo pia kwa scanner ,hata photocopy. na kuna zingine laki na nusu inakuta ni scanner,printer na photocopy all in one. ila sasa kuna suala la wini,speed na vitu vingine

mkuu ni kwa ajili ya kufungua stationery office, hivyo unaweza kuniambia ni machine za kampuni ipi zinazoweza kumudu kazi hiyo na bei za kawaida.
 
Back
Top Bottom