tulizoea kitonga!!Watanzania wenzenu tuishio Burundi hukumambo ni mteremko, huko naskia kodi ya uzalendo zinawashinda wazalendo wenyewe kuzilipa
Acha ujinga mtani. Acha mama aendelee kuucheza mwingi. Acha heshima ichukue mkondo wakeUle mwingi ulikuwa kipindi cha fungate tuu.. Sasa limeisha.. Hakika kazi iendelee.. Maa ulituingiza cha city vibaya mnooo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
ππππDawa ni kucommit suicide na kuwaachia linchi lao watawale wapendavyo
Hakuna kujiua, hakunaaa baki tuteseke wote....Dawa ni kucommit suicide na kuwaachia linchi lao watawale wapendavyo
Dr wa uchumi aliambiwa hili kuwa bei zitapanda baada ya mafuta kupanda bei kwenye soko la dunia jibu alilitoa, hata mimi mwenye degree ya uchumi ya kuunga kwa super glue nilijua jamaa hajui anachoongea.Bei za mafuta zimepanda tena, hii inaashiria kuendelea kuongezeka kwa gharama za maisha
Pengine kwenye soko la dunia bei imeongezeka Ila serikali isingeongeza kodi kwenye mafuta kwenye hii bajeti mpya basi Bei zingekuwa kidogo afadhali.
Sikujua kwa nini serikali iliongeza kodi kwenye mafuta ikiwa wanajua uchumi uliharibiwa na jnaga la corona.
View attachment 1878501View attachment 1878502View attachment 1878503View attachment 1878504
Saw a mtani acha tuendelee kunywa mtori finyango tutazikuta chiniAcha ujinga mtani. Acha mama aendelee kuucheza mwingi. Acha heshima ichukue mkondo wake