Anotherperson
JF-Expert Member
- Jan 8, 2014
- 601
- 672
Hapo mahesabu yanakaa vizuri sanaTuungurume tena sana mkuu, huu ndo wakati wa kwenda mikoani kwa private car
Nadhani hujasoma vya kutosha kuhusu sababu za mafuta kuporomoka bei. Usishangae kukuta sababu ni tofauti na hivyo vifo na maradhi ya Covd19 huko Marekani, inawezekana ni sehemu nyingine. Nimepata kipande hiki, jaribu kujiridhisha na vyanzo tofautiKadri marekani wanavyozidi kutandikwa na Covid19 ndio kadri ambavyo tabasamu langu linaongezeka kila nikifika sheli 🤣🤣🤣. What a goaal??? What a wonderful goal man! Marvelous win! Hatimae almost litre 6 nazipata kwa sh.10,000 🤣🤣🤣🤣 tu.
Why are petrol prices falling?
The key factor affecting petrol is the wholesale oil market. Oil prices slumped in March after a price war broke out between Saudi Arabia and Russia. It kicked off when Saudi Arabia failed to convince Russia to back production cuts that had been agreed with the other members of the Opec oil producers' group.