Dr Eli Isaac
Member
- Jul 23, 2022
- 11
- 12
Kwenu Rais Samia, VP Mpango, Mwigulu, Mafuru, Benki Kuu, Makamba na Mulamula.
Kwa Ufupi,
Serikali Mlishauriwa na Wabunge kuhusu namna ya kukabiliana na suala la bei za Mafuta kupanda.
Mkaambiwa:-
1. Wekeni Utaratibu wa Kununua Oil Futures Options kama Hedging Mechanisms za ku-lock in Bei za Mafuta pale zinapokuwa nafuu. Mkaambiwa pia kuhusu namna bora ya kuendesha Hifadhi ya Kimkakati ya Mafuta.
Kimya, Bei zinapanda [emoji1745]
2. Changanyeni utaratibu wa PBPA na Mfumo wa Ununuzi wa Mafuta kwa Njia za Ushindani(huku Ubora ukihakikiwa). Hii ni ili kuwezesha upatikanaji wa Mafuta ya Bei Nafuu. Kimya, Bei zinapanda [emoji1745]
3. Tumieni marafiki zetu wenye urafiki na Upande wa Marekani na Upande wa Urusi: mfano China na India, ili wanaponunua mafuta Urusi, wanunue zaidi ili hiyo ziada tulipie sisi tupewe tuitumie. Wao wanasifika kama HARD BARGAINERS huko sokoni Ueusi na wananunua Mafuta mengi kwa bei nafuu sana. Na hii ni mpaka hivi leo. Imewafanya hata Marekani na wenzake kwenye G7 waanze kufikiria KUONDOA BAADHI YA VIKWAZO kwa Urusi kwa sharti jipya kwamba sasa nchi za G7 au Ulaya zitazonunua Mafuta ya Urusis basi Urusi ikubali kuziuzia kwa bei nafuu.Na wanataka kuhakikisha hili kwa kuweka Price Caps. La msingi hapo ni kwamba Urusi ina mafuta mengi na iko katika nafasi ambayo haipati hasara kuyauza kwa Bargain au Hard Bargain. Ref: How Russian Oil Is Making Its Way From Europe To Asia | OilPrice.com
Kimya, Bei zinapanda[emoji1745]
Na mimi nawaambia:
1. Hizo Macroeconometric Models na Structural Equations mnazotumia zimepigwa na Supply Shocks, zimepoteza Forecasting Accuracy na nyie wenyewe mnahaha kurudisha Integrity yake. Linaeleweka.
2. Tumekumbwa na Complex Problem. Kuna Simple Problems, Complicated Problems na Complex Problems. Kanuni ya kutatua Simple Problem ni rahisi: Panga halafu Tekeleza. Kanuni ya kutatua Complicated Problem nayo ipo hivyohivyo japo utekelezaji inabidi ufuatiliwe na kurudi kupanga tena. LAKINI Complex Problem inatatuliwa hivi: TEKELEZA halafu PANGA. Anza kutekeleza mambo au suluhu zinazoelekea kufanya kazi.
Tunasema ,kwenye Complex Problem, PLAUSIBLE solutions zinapokuwepo, zitekeleze, pima matokeo, hasa pale matokeo yanapotegemewa kutoleta madhara zaidi ya yale yaliyopo, halafu lichukue kama darasa na ndipo ulitumie kama Mpango unaoweza kuutumia tatizo kama hilo likitokea. Hivyo kwenye kutatua Complex Problem : TEKELEZA halafu PANGA.
Nyie Mpo, Bei za Mafuta zinapaa, Vituo vya Kampuni fulani hivi vinaishiwa mafuta na vinakaa wiki nzima havina mafuta, Balozi zetu India na China zipo, Balozi wa India na China wapo hapa kwetu, Waziri wa Mambo ya Nje yupo, Mfano wa kuiga kwa habari ya kununuliwa mafuta au gesi kutoka Urusi upo, Wataalam wapo. LAKINI pamoja na yote haya mnaingia baridi na kigugumizi at the expense ya sisi wananchi tunaofuatilia yote yanayoendelea huko duniani kwa habari ya namna Nchi zinavyotatua matatizo yao ya Mafuta.
Labda mmeridhika na hali hii[emoji1745][emoji1549]
INASIKITISHA SANA.