Bei za mahindi, mpunga zipoje?

Bei za mahindi, mpunga zipoje?

Very poor

JF-Expert Member
Joined
Apr 26, 2020
Posts
379
Reaction score
574
Wakuu, naomba kufaham Bei za mpunga, mahind Kwa mkoa wa tabora Kwa kipindi hiki Cha mavuno.
 
Mungu alitupa akili tofauti kabisa kwakweli, eti mimi nipo mboka Taborajazz hapa lakini sijafikiria wazo kama hilo. Vipi nikikupa mawasiliano ya jamaa yupo Tabora vijijini (Ndala) yeye ananunua mahindi na mpunga kisha anasaga na kukoboa ndipo anaingiza sokoni.
 
Utakuwa umenisaidia Sana mkuu please fanya hivyo
 
Back
Top Bottom