Bei za Malighafi mbalimbali za ujenzi

Tiles zimepanda bei, Tyfword, goodwill 40*40, bei 26,000
 
Hizi mbao zako ndio za miti ya cyprus? Niliuliza siku za juzi kama una mbao za futi 20 naona kama hujanijibu mkuu. Niko serious, nauhitaji mbao Mwezi huu.
 
Mwenye kujua utaratibu wa kununua bati kiwandani Alaf au Sunshea please.

Hakuna utaratibu mkubwa sana. pale Alaf wao unaenda mapokezi kwa afisa masoko pale unakutana na sample nyingi unachagua unachotaka, baada ya kuchagua rangi na design ya bati ambayo tayari ina price list una press order kwa sales personel palepale then unapewa Invoice na account number ukalipie Benki. ukishapewa risiti ya malipo unarejesha rist yako kwa afisa masoko(sales personel) anakupa siku 3 hadi 5 kuja kuchukua mzigo wako.

Kwa nyongeza ni hivi, pale nje ya kiwanda kuna mawakala( agents) wanauza mabati kutoka kiwandani. Wao unawapa order au unaambatana nao kiwandani utafata utaratibu kama huo hapo juu isipokuwa order yako itakwenda kwa jina la wakala. Pesa unalipa mwenyewe mzigo unachagua mwenyewe. Faida yake ni kuwa Wakala atapata punguzo la 10% ambapo wewe utakula 5% na wakala 5%. Chaguo ni lako.

Sunshare utaratibu ni almost same, ila wao sijaona mawakala in between.
 
Ok boss
 
Vifaa vingi vya ujenzi (Tiles,Bati,Nyaya za Umeme) vimepanda bei kuanzia mwezi May
 
Huku mkoani ndoo moja tunainunua kwa 37000/=, kumbe wanatuibia

Hapana inategemea na kampuni pamoja na gharama nyingine

Manake kusafirisha ndoo moja ni 4000 + 27000 ni 31,000

Ukichukua nyingi negotiation ipo
 
Kiwandani akuna punguzo kwa mteja
 
Kiwandani akuna punguzo kwa mteja
Hakuna punguzo wanauza bei iliyopo Kwa jumla. Ukipita kwa Agent anapunguziwa 10%, 5% yako 5% yake. Maisha ndivyo yanaenda. Ila sasa 5% unaweza kuona ni ndogo ukilinganisha na usumbufu wa hapa na pale unaamua kuchukua mzigo mwenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…