Bei za Malighafi mbalimbali za ujenzi

Habari,
Naombeni kujuzwa bei ya hivyo vifaa hapo chini au kama kuna mwenye namba ya hardware anisaidie nipate bei kabla "fundi maiko" hajanipigaaa hukuuuu
 
Best quality tiles zinapatikana wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…