Bei za malimao na maparachichi Dar es Salaam

Bei za malimao na maparachichi Dar es Salaam

Wakuu nisaidieni soko kwa hapa Dar es Salaam, nina bidhaa malimao na maparachichi kutoka Moshi mazuri na ni makubwa. Nipo Mbezi kwa Msuguli 0673 106 409
Mkuu unauliza bei JF....?

Nenda sokoni boss, huko ndiko kwenye biashara na wanunuzi, humu JF tupo wapiga meneno tu. Masoko ya matunda ni buguruni na temeke stereo. Pia unweza kwenda tandika.

Ukienda huko usiogope kupambana na madalali, dunia ya sasa hakuna biashara isiyo na dalali otherwise mzigo wako utakuozea, toa hela upate hela!
 
Back
Top Bottom