Bei za mashine za kusaga na kukoboa mahindi

Asante sana kwa ushirikiano!! Je,upo katika biashara hii ya kusaga sembe??
 
Wadau naomba kujua mashine za kusaga unga wa sembe na kukoboa zinapatikana wapi kwa dar es salaam ? nabei zake tafadhali

Ahsante
Mie nilichukulia SIDO Moshi! Bei zao zipo juu kidogo ukilinganisha na za dukani. Bei ya kukoboa inategemea na roller ngapi lakini pia na zile za kusaga inategemea unahitaji namba ngapi!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapa ipogoro iringa,naona kuna mashine nyingi za kusaga zipo kwenye makazi ya watu
 
safi..
 
R

Inategemea mashine yako , Kama ni ile yenye mlio mkali. utagombana na majirani zako huu ya kelele, kama haina mlio unaweza kuifunga tu
 
Naomba unitafute 0626063600
 
Habari kiongozi , mashine yenyewe ukubwa huu capacity yake per hour Ni kg/ton ngapi? Asante
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…