Bei za matank ya maji kuanzia lita 1000-8000

thefarmer

Member
Joined
Jun 13, 2023
Posts
19
Reaction score
41
Habari wanaJf,nilikuwa naomba kama kuna mtu anaejua bei za matank aniorodheshee za kuanzia lita 1000 mpaka lita 8000.

Thanks in advance [emoji120]
 
Mkuu habari Yako
Mimi nipo Singida nimeuilizia bei ya Tank la 5000 Liter ni meambiwa 1,200,000 samahani Kama utakuwa unajua sehemu wanapo uza kwa bei uliyo itaja apo juu kwa upande wa Singida naomba unifahamishe
Asante
Hapana mkuu mm niko dsm.

Labda ununue usafirishe.
 
Hongera kwa ubunifu mkuu, ila fikiria pia kusajili biashara ili iwe rahisi kuaminika.
 
Mkuu habari Yako
Mimi nipo Singida nimeuilizia bei ya Tank la 5000 Liter ni meambiwa 1,200,000 samahani Kama utakuwa unajua sehemu wanapo uza kwa bei uliyo itaja apo juu kwa upande wa Singida naomba unifahamishe
Asante
Ukihitaji kununuliwa na kusafirishiwa kutoka dsm,nicheki mkuu 0745645035.
 
Nitakutafuta mwamba
 
Hongera kwa kuthubutu.
Mungu akuongoze katika hili Mkuu🙏
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…