SSMashinji
Senior Member
- Aug 10, 2023
- 129
- 191
Debe ngapi na unapatikana kwa wingi? Kwa sasaMadibira, Mbarali - mbeya Bei laki Moja na elf KUMI (TSH 110,000)
Debe Saba, sijui Kama unapatikana Kwa wingi maana sipo huko ila Kuna jamaa nimemuulizaDebe ngapi na unapatikana kwa wingi? Kwa sasa
Na gunia moja ukikoboa unapata mchele kilo ngapi?Debe Saba, sijui Kama unapatikana Kwa wingi maana sipo huko ila Kuna jamaa nimemuuliza
Na gunia moja ukikoboa unapata mchele kilo ngapi?
Una uhakika?Kilo 7 mpka 8
Una uhakika?
Una uhakika?