Kuna mtu anauza nyumba M/Nyamala karibu na hospitali
mimi nauliza, hivi nyumba eneo lile zinafika milioni 250?
Ni sawa au ndogo au kubwa?
iko barabarani nyumba na kuna duka...
Btw
Ilala wanasema is the next Kariakoo..je bei zake zinaendaje?
Changombe uhindini je vipi? Kuna ghorofa jipya la ma bohora pale nadhani ni eneo zuri karibu na kwa Majjid...ila sina hakika kama kuna nyumba za kuuza pale