kwa walio ulaya + usa, housing prices hazifanani na huko nje,so throw out your ulaya forumulas on housing prices.
kwani utakuta nyumba ipo mikocheni inauzwa milioni200 jirani yake ni nyumba ya zamani ya milioni 25,ukienda kijitonyama its the same,ukienda mbezi uswazi pia ipo,
In short bongo value ya nyumba inategemea muuzaji anamuonaje mmnunuzi,Madalali huwa ni waongo sana na sometimes wanatumia nguvu za giza to conduct their business and convincing Tricks.
The solution to this is:-
1.mlio nje mjipange kwa umoja,mnunue eneo kubwa na kutengeneza a gated community,with own police station,hospital,umeme and water supply .
2 .ukirudi bongo kanunue shamba nje ya mji then jenga makazi,ila jiandae na majambazi
3.kwa sasa mji wa Dar umepanuka sana,eneo lililobaki ni kigamboni ,huko bado unapata kiwanja for 5million and above ,ukitaka upande wa ubungo ujiandae for 10km from the main road na hapo ni kuanzia mbezi mwisho.