Bei za soda hazieleweki wengine wanauza 600, wengine 800, na wengine 1,000

Sasa si bora uchukue bia mkuu uepukane na soda ambazo ni makemikali?
Bia ile ni nafaka, so unajenga mwili.
 
Wewe ni mjinga

Bei za Soda zimeandikwa Kwenye mabango

Soda za Pepsi 300mls ni 500Tsh
Soda za Pepsi 350mls ni 600Tsh
Soda za Pepsi 600mls ni 1000Tsh

Soda za Coca 350mls ni 700Tsh
Soda za Coca 600mls ni 1000Tsh


Kreti la Pespi ni 12000
Kreti la Coca ni 13000
Kreti Pepsi Big ni 14000

Pespi plastic ni 9800
Coca Plastic ni 10000
Pepsi Comando ni 10000
 
Achana na soda piga kitu cha togwa utakuja kunishukuru
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…