TV4Sale Bei za Tv Aina na size zote kwa sasa (Karibu)

TV4Sale Bei za Tv Aina na size zote kwa sasa (Karibu)

Rcrusso Jr

Senior Member
Joined
Jul 26, 2020
Posts
184
Reaction score
421
BEI ZA OFA (PUNGUZO) TV KWA LEO

BOSS

32(single kioo).....285,000

49(smart vioo viwili)..850,000

39.......470,000

NATIONAL
32(vioo viwili)....300,000

MR UK
32(double)....300,000

32(smart)....340,000

Mo electro
43(smart android)...630,000

ITEL

19...................160,000

32(INA I CAST)..325,000

32(vioo viwili)...290,000

ZUNNE
24(DOUBLE)....240,000

32(DOUBLE)...275,000

OULING

32(vioo viwili)........320,000

NIKAI

32........300,000

SOLAR MAX

19............165,000

22............185,000

24(double)..230,000

32(single)....270,000

32(double)...290,000

43(double).....540,000

HIGH Q(vioo viwili)
19..........130,000

22.........185,000

25(vioo viwili)...235,000

32(Double)...300,000

Star x
32........300,000

43.........550,000

43(smart)....660,000

50(smart)....950,000

ARBODER
22(vioo viwili)...200,000

32(double)......300,000

32(frameless)..340,000

SUMSUNG

32(5 SIRIES HD TV)... 520,000

55(AU7000 UHD 4K)..1,800,000

ALITOP

17.........135,000

21....................170,000

24(kioo kimoja)..235,000

25(frameless icast)..230,000

32(kawaida)......265,000

55(smart 4k).....1,100,000

BRAVO

24(vioo viwili)..190,000

32(frameless)..310,000

32(smart frameless 4k)....370,000

48(smart 4k)...620,000

55(smart 4k)....950,000

AILYONS
32(single).......275,000

BEI ZA LEO HISENSE
TELEVISION

32(sio
smart )........380,000

40(sio smart)...520,000

40(smart).....630,000

43(sio smart)...600,000

43(smart).....680,000

50(UHD 4k).....970,000

55(UHD 4K).....1,230,000

55(ULED 4K)....1,320,000

58(UHD 4K)...1,250,000

SOUND BAR

320W..............640,000

AIR CONDITION(A/C)
BTU(9000).......720,000

BTU(12000)....770,000

BTU(18000)....970,000

BTU(22000)...1,200,000

MICROWAVE
L20(NYEUPE sio digital).....190,000

L20(NYEUSI)....220,000

L36(YA KIOO)...300,000

L45(INAPASHA NA KUCHOMA)........355,000

Call:/ whatsap ; 0785657273
NB:ambazo hatujaweka kwenye orodha zimeisha kwa sasa mpka hapo baadaye tena
 
Hakuna mnunuaji hajui TV, anajua anachotaka anataka offering yako. Ukiona mtu anaomba picha ya kitu kipya unakata tamaa ya kuuza. Watu wanaomba details kama price, delivery na warranty
Maana ya mtu kuomba picha anataka aone muonekano wa bidhaa inayotangazwa ajiridhidhe mwenyewe. Sasa kama kulielewa hilo inakua ngumu hizo biashara huko mnafanyaje?

Basi kama hakuna mnunuaji hajui TV basi wauzaji wangekua wanaweka kwenye mabox yake kuliko kuzianika kutwa zinakula vumbi na kula umeme tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kamba unatoka uko ulipo unakuja JF kuuliza picha ya TV kisha ukiiona ndio uamue kuinunua ama uache. Nakupongeza

Alichokataa OP ni kujaza mapicha kila akitaja TV ili kutoa nafasi details zote kusomeka kwa haraka na rahisi

Mkuu jambo lilikua ni dogo tu. Hakuna mtu aliyekuja hapa ili aone picha ya tv. Sote tumekuja tumekutana na tangazo ndio mtu mmoja akauliza picha. Kama hili linashindwa kueleweka then am resting my case kwa sababu inakua ni kama tunashindana.

It was a simple business language

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom