Asante sana mkuu. Umetupa mwongozoME NAANZA NA PLUMBING,BEI HIZI NI KUTOKA INDIAN STREET PANDE ZA CITY CENTER.
IPS Pipe 1/2 @ 13,000
Elbow 1/2@ 1000
Tee1/2@ 1000
Nipple 1/2@ 1000
Union 1/2 @ 1000
Socket 1/2 @ 1000
Get valve 1/2 9000
PVC Pipe 1 1/4 @ 7000
Elbow 1 1/4 @ 1000
Tee 1 1/2 @ 1000
Plug 1 1/4 @ 1000
PVC pipe 1 1/2 @ 8000
Elbow 1 1/2 @ 1500
Tee 1 1/2 @ 1500
Plug 1 1/2 @ 1000
Tan Jint kopo @ 5000
Nahan Trap 2500
Seal Tep @ 500
Kila la heri katika ujenzi wako mkuu.
mpo kimya katika huu uzi ni muhimu sana huu MAANA SHUGHULI ZA UJENZI DUUUH
mbezi beach tofali 1000 bado upakizi/ushushaji 200
kwa sie ujenzi wa milimani tofali lazima likishushwa libebwe kufikika kwenye uwanja wako GHARAMA YA PILI KO TOFALI MOJA 1500 mpaka site
cement 15000..........mchanga 180 gari ndogo dar hii mbez
mkuu Richards..naweza kupata wapi kwa hapa tanzania bomba za nch3 za thickness ya mm2, zenye urefu wa mita 8, na bei yake!plz mkuu
umeuliza swali zuri lakini mkuu upo mkoa gani?
napatikana shinyanga mkuu
KWENYE.MCHANGA NA KOKOTO NASHAIRI NENDENI MACHIMBO MRUDI MBAGAIN NA USAFIRI UNASAVE NYINgI SANASANA..YAPO MACHIMBO YA MBWENI..KIBAHAA..MBEZII..MBAGALA..KOKOTO NJOON TEGETA KABLA AMJAFIKA TEGETA MWISHO KUNA KOKOTO ZA JESHI WANAUZA KWA CUB MTR..PIA UKITAMAN MCHANGA WA CHUMVI NENDEN TANKIBOVU ULIZA KWA.MBOMA MWISHO WA UKUTA ULIZA MACHIMBO YA.MCHANGAA..mpo kimya katika huu uzi ni muhimu sana huu MAANA SHUGHULI ZA UJENZI DUUUH
mbezi beach tofali 1000 bado upakizi/ushushaji 200
kwa sie ujenzi wa milimani tofali lazima likishushwa libebwe kufikika kwenye uwanja wako GHARAMA YA PILI KO TOFALI MOJA 1500 mpaka site
cement 15000..........mchanga 180 gari ndogo dar hii mbez
ME NAANZA NA PLUMBING,BEI HIZI NI KUTOKA INDIAN STREET PANDE ZA CITY CENTER.
IPS Pipe 1/2 @ 13,000
Elbow 1/2@ 1000
Tee1/2@ 1000
Nipple 1/2@ 1000
Union 1/2 @ 1000
Socket 1/2 @ 1000
Get valve 1/2 9000
PVC Pipe 1 1/4 @ 7000
Elbow 1 1/4 @ 1000
Tee 1 1/2 @ 1000
Plug 1 1/4 @ 1000
PVC pipe 1 1/2 @ 8000
Elbow 1 1/2 @ 1500
Tee 1 1/2 @ 1500
Plug 1 1/2 @ 1000
Tan Jint kopo @ 5000
Nahan Trap 2500
Seal Tep @ 500
Kila la heri katika ujenzi wako mkuu.
Mimi nyumba yangu iko kwenye Beem ( lenta) hapa nafikiri bei ya
. mbao treated bei zake
. mabati ya kisasa,, sijui bei zake nasikia kuna yale ya china, na south africa sijui na wapi wazoefu mwagikeni tufaidike hasa bei za kariakoo
Sijaelewa ata kitu kimoja hapa.ME NAANZA NA PLUMBING,BEI HIZI NI KUTOKA INDIAN STREET PANDE ZA CITY CENTER.
IPS Pipe 1/2 @ 13,000
Elbow 1/2@ 1000
Tee1/2@ 1000
Nipple 1/2@ 1000
Union 1/2 @ 1000
Socket 1/2 @ 1000
Get valve 1/2 9000
PVC Pipe 1 1/4 @ 7000
Elbow 1 1/4 @ 1000
Tee 1 1/2 @ 1000
Plug 1 1/4 @ 1000
PVC pipe 1 1/2 @ 8000
Elbow 1 1/2 @ 1500
Tee 1 1/2 @ 1500
Plug 1 1/2 @ 1000
Tan Jint kopo @ 5000
Nahan Trap 2500
Seal Tep @ 500
Kila la heri katika ujenzi wako mkuu.
tumia bidhaa za ando aisee hutojuta kama unatumia bati za kisasa hizi za afrka ya kusini, nimepaua nazo.
Nataka kufanya biashara hii mkuu,nikiwa na mil sita inanitosha kwa kuanza?
KWENYE.MCHANGA NA KOKOTO NASHAIRI NENDENI MACHIMBO MRUDI MBAGAIN NA USAFIRI UNASAVE NYINgI SANASANA..YAPO MACHIMBO YA MBWENI..KIBAHAA..MBEZII..MBAGALA..KOKOTO NJOON TEGETA KABLA AMJAFIKA TEGETA MWISHO KUNA KOKOTO ZA JESHI WANAUZA KWA CUB MTR..PIA UKITAMAN MCHANGA WA CHUMVI NENDEN TANKIBOVU ULIZA KWA.MBOMA MWISHO WA UKUTA ULIZA MACHIMBO YA.MCHANGAA..
NB..UKIKAMATWA NA.MAKONDA ON UR OWN RISK..SIJASHAURI
Sijaelewa ata kitu kimoja hapa.