kwa biashara watu wanapenda vitu cheepest mkuu
Mobile: +255754306445 /
0767909271.
HEAD OFFICE: Wazo hill
Industrial Area,Dar es
salaam.
-website: www.ando.co.tz
-Instagram: @
andoroofingproducts
-Email: info@ando.co.tz
Mimi nyumba yangu iko kwenye Beem ( lenta) hapa nafikiri bei ya
. mbao treated bei zake
. mabati ya kisasa,, sijui bei zake nasikia kuna yale ya china, na south africa sijui na wapi wazoefu mwagikeni tufaidike hasa bei za kariakoo
Mbao za kupaua(Treeted)
2?2= 550 Kwa mita
2?4= 950 Kwa mita
2?6= 1450 Kwa mita
zinapatikana dsm na bati za aina zote pia zipo popote ulipo utaletewa
inatosha kabisa tena ukitaka unachanganya na toilets na masink unayapata kwenye godauni za goodone bei chee,ni busness nzuri sana hii.
Hii ni nzuri sana mkuu ila ningeshauri ushushe uzi kiasi kutufafanulia namna ya mchanganuo na changamoto za biashara hii kule kwenye jukwaa la ujasiliamali tufaidike wengi.
Natamani pia kufanya biashara hii Bagamoyo.
Bagamoyo safi ila tafuta sehemu nzuri utafanya biashara nzuri sana
Mkuu ahsante sana nikipata location nzuri nitakutafuta unipe mwongozo mzuri.
Karibu ndugu napiga hizi mambo tangu mwaka 1993
Naomba kujulishwa kwa Tanga mjini wapi nitapata cement ya bei rahisi kwa jumla.
Nahitaji tani 30.
Mkuu kwanini usiende Tanga Cement? Utapewa bei ya kiwandani kabisa
Mara nyingi ukienda Kiwandani unaweza kupewa Bei kubwa zaidi ya kwa AGENT
Wanafanya hvo kwa ajili ya kucontrol biashara vinginevo kila mtu atakua anaenda kiwandani