ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,758
- 9,592
asante sana kunisaidia nitatawatafuta mkuu umenisaidia sanaHapo mkuu njia bora ni kumpata mtaalam wa ramani uende naye site yeye atakadiria vizuri zaidi dimensions za nyumba akiwa eneo husika na atakushauri kulingana na space iliyopo. Usiwatumie wale jamaa wa kuangalia site plan na kuchora ramani bila kwenda site. Kwa njia hii utaweza kutoa mjengo mzuri kulingana na eneo lako.
Mkuu invisible mi nipo dar ,Uko wapi mkuu?
Nitakutafuta mchakato ukikaa sawa. Nahitaji Gypsum Boards
na tiles. Hebu nikuulize swali mkuu. Nyuma ya Sq meter 288 inaweza kula gypsum boards ngapi?
umenena maneno kuntu mkuu kingmario.Hapo mkuu njia bora ni kumpata mtaalam wa ramani uende naye site yeye atakadiria vizuri zaidi dimensions za nyumba akiwa eneo husika na atakushauri kulingana na space iliyopo. Usiwatumie wale jamaa wa kuangalia site plan na kuchora ramani bila kwenda site. Kwa njia hii utaweza kutoa mjengo mzuri kulingana na eneo lako.
Kwa zile za kuchuchumaa ni zipi nzuri?Mkuu Choo za nzuri za Good one labda zile za kukaa lkn za kuchuchumaa.....Hazifai
Mkuu invisible mi nipo dar ,
GYPSUM BOARD
Dimensions za board moja ni 2.4×1.2(m)
Hivo board moja =2.88 square meters.
Total plan square meters =288
Number of gypsum boards=288÷2.88
Kwa hiyo utahitaji board 100.
TILES
Endapo ukihitaji Tiles za 40×40.
1 box=1.12sqm.
Hivo basi itakuwa
Total sqm÷box sqm
288÷1.12
=257boxes
Shukrani mkuu
Tiles 34000/_Asante Mkuu.
Ningependa pia kujua bei zake.
Za kukuchumaa....zipo za INDIA elf ,,25,,ARROW 150,,za R.A.K..laki MBILI hizo bei bila TankKwa zile za kuchuchumaa ni zipi nzuri?
Tiles 34000/_
Gypsum board.17500/_
Zote zipo ukiwa tiyar nichekiBei si negotiable mkuu??
Yaani nikishakamilisha nikakutafuta inaweza kushuka??
Ningependa kujua tiles ulizo nazo ni za wapi?? (Spain/China or??)
Natanguliza shukurani
Mkuu bati za migongo mipana unauzaje kwa mita?Zote zipo ukiwa tiyar nicheki
Kwa nyumba ya hio ungechora ramani kwanza halafu ndio ukaomba ushauri huo. Just am concernednataka kuweka msingi kwenye kiwanja changu huko chamazi
kiwanja kina futi 50-60 sasa nifanyaje wakuu mnisaidie
kwani nataka nyumba ya kawaida yenye sitting room1, kitchen room1, vyumba3 vya kulala, na bathroom ya ndani pamoja na bathroom ya nje
nahitaji kujua makadirio hapop ya ujenzi hasa nikianzia kwanza kwenye msingi halafu kidogokidogo nikijikusanya nianze kujenga taratibu nisaidieni kwa anayejua zaidi masuala ya ujenzi
na nyumba yangu nataka iwe mfano kama huu nimeattach ili muone nimeipenda huu mwonekano
Kabla hujaanza ujenzi omba usaidiwe utaalamu vipi utajenga nyumba yako kwa gharama ndogo. Kwa huyo architectureasante sana kunisaidia nitatawatafuta mkuu umenisaidia sana
asante sana mkuu itabidi nikutafute unisaidie jambo hili maana nataka nijenge kwa gharama nafuu ndugu yangu kutokana na hali ya uchumi ilivyoKabla hujaanza ujenzi omba usaidiwe utaalamu vipi utajenga nyumba yako kwa gharama ndogo. Kwa huyo architecture
asante nitamtafuta mtaalamu wa kunichorea ramani kisha nianze mchakato mwingine wa ujenziKwa nyumba ya hio ungechora ramani kwanza halafu ndio ukaomba ushauri huo. Just am concerned
ando 28 gauge=12,000/=/smMkuu bati za migongo mipana unauzaje kwa mita?
nataka kuweka msingi kwenye kiwanja changu huko chamazi
kiwanja kina futi 50-60 sasa nifanyaje wakuu mnisaidie
kwani nataka nyumba ya kawaida yenye sitting room1, kitchen room1, vyumba3 vya kulala, na bathroom ya ndani pamoja na bathroom ya nje
nahitaji kujua makadirio hapop ya ujenzi hasa nikianzia kwanza kwenye msingi halafu kidogokidogo nikijikusanya nianze kujenga taratibu nisaidieni kwa anayejua zaidi masuala ya ujenzi
na nyumba yangu nataka iwe mfano kama huu nimeattach ili muone nimeipenda huu mwonekano