Bei za vinywaji kushuka soda na bia. Hizi fununu ni za kweli.?? Anayejua atujulishe.

lup

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2015
Posts
2,514
Reaction score
2,741
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Kuna fununu ambazo zinasambaa sana kuwa bei ya bia na soda itashuka bei mda wowote.. Kwa aliye na uhakika atuambie na ni tarehe ipi itakuwa hivyo.
 
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Kuna fununu ambazo zinasambaa sana kuwa bei ya bia na soda itashuka bei mda wowote.. Kwa aliye na uhakika atuambie na ni tarehe ipi itakuwa hivyo.
Soda na Bia ni anasa hivyo,
Sababu ya ukata now tuna deal na vitu muhimu tu.
 
Kuanzia tareh 8 ndio zitashuka rasmi ilibid iwe tareh moja ila inasemekana kuna baadhi ya watu walikuwa na stock kubwa ivyo kushindikana kuanza kupungua bei
 
Reactions: lup
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…