Bei za vyakula kwenye masoko ya Dar es salaam July - August 2022

Bei za vyakula kwenye masoko ya Dar es salaam July - August 2022

BARD AI

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2018
Posts
3,591
Reaction score
8,826
Hali ya Mfumuko wa Bei ya bidhaa muhimu ikiwemo chakula kwa jiji la Dar es salaam imezidi kupanda kwa kasi licha ya maeneo mengi nchini kuwa kwenye msimu wa mavuno.

Hapa chini ni bei za mazao ya chakula kwenye masoko ya jiji la Dar es salaam kwa kipindi cha mwenzi mmoja kuanzia Julai hadi August 2022.

JULAI

Pilipili Hoho 1Kg - Tsh. 4,000/-
Dagaa 1Kg - Tsh. 7,000/-
Mkungu wa Ndizi - Tsh. 15,000/-
Mchele 1Kg - Tsh. 2,000/-
Ndoo ya Nyanya - Tsh. 35,000/-


AGOSTI

Hoho 1Kg - Tsh. 7,000/-
Dagaa 1Kg - Tsh. 10,000/-
Mkungu wa Ndizi - Tsh. 30,000/-
Mchele 1Kg - Tsh. 2,700/-
Ndoo ya Nyanya - Tsh. 45,000/-


Nini maoni yako kuhusu bei hizi?
 
Kwa hizo bei nadhani ni kishindo cha awamu ya China na Taiwan 😞😞
Hapo ndio tumetoka kwenye mvuno bado unga ni 1600+
 
Back
Top Bottom