Beiben 2638 6X4 Tractor Truck

Kwa swala la.uimara na kupiga kazI kwa gari lolite la kichina ondoa shaka.
Ila driver comfort ni zero .
They are not cheap too, japo benki nyingi zipo ready to finace them as they are zero km na zina uhakika wa kurudisha pesa..
Thanks man
 
Hii ni gari hasa!
Ni pacha wa MERCEDES-BENZ powerliner SK.

Jinsi ilivyo na sura personal, sikuwahi kufikiri kama inaweza kuwa na redio.

Hebu cheki Beiben V3, ina muonekano mzuri kidogo kuliko hiyo uliyopost!!
 
Hiyo ni work machine, wachina wameibatiza jina la Northern Benz.

Gari haina tatizo imenyimwa comfortability tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…