The Khoisan
JF-Expert Member
- Jun 5, 2007
- 16,434
- 14,547
Hili halina mjadala. Tutatia "aibu "kama tulivyofanya kule Athens 4 years ago kwa sababu hakuna kilichorekebishwa after Athens
Mi nawaomba wale wanamichezo waliokuwa shapu wajilipuwe tu huko huko wanaweza kukatisha maboda ,asiludi mtu labda goigoi.
Wanakwenda shopping kama kawa...kwa kila mwanamichezo mmoja, officials watano. Tutafika?
Jamani hii ni temp thread
lakini sasa nishajua kwa nini ule uwanja wetu wa Taifa ulijengwa na wachina umetushinda
Duh!
mwenye TV karibu hebu tazameni whats going on
Hata sisi tuki mobilize watu wetu kwenye maendeleo badala ya ulaji, tutaweza tu.
Mimi naangalia hapa:
http://news.bbc.co.uk/sport1/hi/olympics/live_action/7549103.stm
Tunataka sana hayo maendeleo sasa kwa nini hatu mobolize hao watu kwenye maendeleo. Is it that hard?
Kujenga uwanja hatuwezi....na ku-maintain hatuwezi. Tunaweza nini....ufisadi?
Kumbuka maneno ya Nyerere ili tuendelee tunahitaji watu, ardhi (tunavyo), siasa safi na uongozi bora (viwili vya mwisho hatuna). Matataizo yetu ni uongozi mbaya na siasa mbovu za ufisadi badala ya maendeleo.
Tunaangalia nyumbani through TBC1 exclusive.
Nchi zinaingia nchi yetu bado... tusubiri, I hope tuna at least uniform.