Being a prostitute at 45!

Sawa The Boss but i think tukikata katikati, hao prostitutes wangekua targeted walipokua na umri mdogo,then kusingekuwepo na hizo 'recruitment agents'..(wasingefikia 35 na kuwa agent kama wangekua wameshatolewa kny ukahaba walivyokua wadogo)

Kuna aina ya prostitutions ambazo hata iweje
Haiwezi kuisha. Ndo maana unaona
Hata nchi tajiri kuna prostitutions..

Unaweza watoa huku uwanja wa fisi..
Lakini kule Serena Hotel hutaweza
 
Nilikua naongelea maisha in the end ya mwanamke aliyekua anajiuza..nothing serious mkuu
Vile vile hao wa over 45 ni hatari sana.
Hasa akinogewa.
Na vile vile linakuja tatizo la kimaisha, atataka kuwa nyumba ndogo kwa lazima kwani umri umeenda.
Utapewa kila staili, na kwa wengine hata ushirikina ili umsahau mamsapu!
 
Kama ana mtoto wa kike ndo anapomsukumia huko kwa kumwambia "enzi nina umri kama wako sikuwa nimedoda kama wewe, embu amka huko kanitafutie hela" ilihali huyo bint hana kazi wa kibarua.


Mara nyingi hapo anasukuma 'mayatima'.
Watoto wake mwenyewe mara chache kuwasukuma huko
 
Kuna aina ya prostitutions ambazo hata iweje
Haiwezi kuisha. Ndo maana unaona
Hata nchi tajiri kuna prostitutions..

Unaweza watoa huku uwanja wa fisi..
Lakini kule Serena Hotel hutaweza

Its true The Boss nimekuelewa..wanasemaga uma'laya ulianza kitambo hadi wakati zama vitabu vya dini vinaandikwa...
 
Kama ana mtoto wa kike ndo anapomsukumia huko kwa kumwambia "enzi nina umri kama wako sikuwa nimedoda kama wewe, embu amka huko kanitafutie hela" ilihali huyo bint hana kazi wa kibarua.

Ni kweli my dear, ni mtihani, mara nyingine sidhani mwenyewe anapenda kumtuma..basi tu afanyeje..
 
Mara nyingi hapo anasukuma 'mayatima'.
Watoto wake mwenyewe mara chache kuwasukuma huko
Boss amini wako makonki wanaowasukuma watoto wa kuzaa.

Mimi kwetu mjini kati kabisa kwenye ufekeche wa kila aina.
Unakuta ufekeche wa mama kumfungia ndani mtoto wa miaka 3 au kumpa piriton alale usingizi yeye akajitandaze barabarani kupata mteja.

Mama ambae anampeleka mtoto asiyenaliza darasa la saba kwa witch doctor ili apate mabwana first class
 
Wale wanaofanya kama hobby, wanakuwa na raha SANA, coz ni part time job...

Kimbembe wale wanaotegemea wajiuze ndiyo wapate kula wanapata taabu..
In the end, they become bitter, wanatukana ovyo, hawajiheshimu, anakuwa mtu mzima ovyo!

Everyday is Saturday......................... 😎
 
Well If you can't control your own mind then your body and emotions are gonna control you without even knowing that you're controlled just like any other animals....they don't think!! Or they don't have self awareness.. it's just normal to them...
So yeah I don't think they feel sad or guilty after all...
Or
they just like that career of getting their ass kicked everyday I mean who knows?....
They had a choice to choose and that's what they chose to do...
 
Wanaume kuwa na wanamke Zaid ya mmoja hiyo Ni natural kabsa jogoo mmoja mitetea kumi ,mfumo wa kuwa na mke mmoja Ni mfumo wa kingereza tu tuliyoiga
 
Huyu mjumbe kaamua kutunyanyapaa wallah...

Hivi ndo tuseme umeamua kunitosa mazima?

Muafaka wetu utaamuliwa na kamati kuu.........wacha wamalize mkutano wa leo kwanza.........
 

Kumbe wee huwajui binadamu...watu wana fantasy ya kugegeda vibibi , amputee, vimbilikimo u name it
 
Niwachache sana wanafika hio 45
Amini usiamini wanafikia hata 60+, na wengine bado shughuli yao ni ya kujiuza, tuliopitia nyumba za kupanga, tunaelewa..
Mchana wanalala, usiku wanaingia mzigoni.

Siku hizi na teknolojia ya simu, wamerahisishiwa mno, siye wanaume mabazazi, upo semina unatafuta usingizi unaomba wenyeji wakuletea, yoyote atakayekuja bora ana papuchi, weye twende kazi..asubuhi na no K-vant imekutoka kichwani ndiyo unajiuliza hiki nini??😀

Ije sheria baa zote ziwe na mwanga wa kutosha, aisee!

Everyday is Saturday............................😎
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…