Being a real man is not easy,,,

You have just made my day beautiful if i get a guy who knows his responsibities,that much then im a lucky woman n happy,
 
hapo #8, issue ya kuvaa suits 3 times a week labda kama ww ni salesman! kama unajifanyia kazi za site je?there ar real men out there,doing the sweaty jobs in the tropics!
 
kuna haja ya kufanya sensa humu jamvini! manake sifa ndo hizo,imekula kwetu!
<br />
<br />


Wifi i thot kua kakaangu ana sifa zooote...lol... (udada huu) Kumbe zingine ana fail??
 

hahahahahah
we mtoto wewe..
unatetemesha eti ngoja aje..
kule nnakusubiri..
(acha fujo halafu)
 
hapo #8, issue ya kuvaa suits 3 times a week labda kama ww ni salesman! kama unajifanyia kazi za site je?there ar real men out there,doing the sweaty jobs in the tropics!



King bana.... kutuchekesha tu asubuhi hii.... Chukua tu basics... (alafu mini suit.. labda avae once a month....or else kazi yake demands hivo)
 
Ni nzuri hii, lakini saikolojia ya maisha ile self esteem utakayoifikia huwa inaathirika sana na mazingira na watu wanaokuzunguka, hivyo unaweza ukawa unastrive kuwa the the real man in the unrealmen society, u real need kuwa na watu around wenye utashi wa kuweze kuelewa kuwa kile unachifanya ni kueleka kuwa real men, unless otherwise vikwazo ni vingi sana katika kibongongo environment. Speaking of wearing suit 3 tymes a week na daladala zetu??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…