Being black in nazi Germany

Being black in nazi Germany

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011

Ni sinema mpya inayo onayo onyesha msichana mweusi akiwa na school mate wake wazungu. Wajerumani wanajulikana kwa ubaguzi wa rangi. Walipo tawala Tanganyika waliacha DNS’s sana. Bahati mbaya hakuna vitabu vingi vinavyoelezea maisha ya Watanganyika chini ya utawala wa Wajerumani.

Waliwezaje kuzaa na Watanganyika, walioa au ilikuwa subject of rape cases?
 
Walikuwa wanawarape tu na si kwa ridhaa yao.


Ni sinema mpya inayo onayo onyesha msichana mweusi akiwa na school mate wake wazungu. Wajerumani wanajulikana kwa ubaguzi wa tangi. Walipo tawala Tanganyika waliacha DNS’s sana. Bahati mbaya hakuna vitabu vingi vinavyoelezea maisha ya Watanganyika chini ya utawala wa Wajerumani.

Waliwezaje kuzaa na Watanganyika, walioa au ilikuwa subject of rape cases?
 
Walikuwa wanawarape tu na si kwa ridhaa yao.
Nimekuelewa mkuu, kwani wakati ule Mjerumani asingeweza kusema ana mke mweusi.

Your complexion could determine your future, ukiwa light skinned unapewa kazi nyepesi.

Kwahiyo watoto wakiowazaa na weusi walikuwa na nafasi bora katika jamii kuliko weusi asili.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Ngoja waje,niliwahi kukutana na chotara wawili wa kijerumani songea,hawa jamaa ni vigumu kukumbuka damu zao,anyway life is going
 
Ni sawa na beki 3 na baba mwenye nyumba.


Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
  • Thanks
Reactions: BAK
mjerumani kuzaa na black kidogo ni ngumu, labda kwa nyakati hizi lakini sio kwa kipindi hicho kwa kweli.
kuna sehemu nafanya kazi na wajerumani wakiwa kama volunteer kwa jinsi ninavyo waona kwa sasa hawana ule ubaguzi tuliousoma kwenye historia
 
Bila ya shaka utaziona story kama hizo zikipaisha kwakua zinatokana na Nazi-Germany, Ila hua haziskilikani kupromotiwa kuhusu U.S au U.K tumezoea kuwa wa magharibi kuwapaka kila aina ya uovu Nazi-Germny
 
Ningeomba mtu yeyote ambaye amewahi kutembelea Ujerumani Mashariki hata leo aje atueleze yafuatayo:
1. Uhuru aliouona huko kwa mtu mweusi kuthubutu kutembea mwenyewe huko mjini au vijijini.
2. Uhuru alio nao kijana wa kiume kutembea amemshika mkono tu msichana mjerumani. Iwe mjini au mashambani kwao ukutane na vijana wenzio wa kijerumani hata kama wana wasichana wao.
3. Nenda kashitaki chechote polisi.
Jamani, kuna ubaguzi usiosemekana huko.
 
Imagine mtoto yupo Germany kwenye shule zao...

Alafu kwenye soma la history wanakutolea mfano wewE kwamba ulikua mtumwa wao kwa mijeledi tena...



Cc: mahondaw
 

Ni sinema mpya inayo onayo onyesha msichana mweusi akiwa na school mate wake wazungu. Wajerumani wanajulikana kwa ubaguzi wa rangi. Walipo tawala Tanganyika waliacha DNS’s sana. Bahati mbaya hakuna vitabu vingi vinavyoelezea maisha ya Watanganyika chini ya utawala wa Wajerumani.

Waliwezaje kuzaa na Watanganyika, walioa au ilikuwa subject of rape cases?

Ipo ingine mpya kabisa inayoelezea being black in Nazi German. Sinema hii mpya inaitwa

Where Hands Touch

Where hands touch.PNG
 
Propaganda ina nguvu sana...mambo mengine ni siri ya aridhi..ukweli usiopingika ni kwamba blacks na whites hatuchangamani..pona yetu ni pale tutakapokuwa pamoja kutatua matatizo yetu...kwa hali ilivo ni kama wildebeest vs Simba .
 
Back
Top Bottom