Unaishi tanga sehemu ganiYericko Nyerere na Mohamed Said vtunaomba mtujuze zaidi.
Sky...Yericko Nyerere na Mohamed Said vtunaomba mtujuze zaidi.
Shukran mzeeSky...
Sina ninachokijua kuhusu historia ya Manazi na watu weusi.
Nimejaribu kusoma kilichoandikwa kuhusu hili naweka link
hapo chini:
https://www.bbc.co.uk/news/amp/world-africa-48273570
Being black in Nazi Germany - BBC News
A new film explores the little-known story of Germany's mixed-race population in the 1930s and 1940s.www.bbc.co.uk
Ni sinema mpya inayo onayo onyesha msichana mweusi akiwa na school mate wake wazungu. Wajerumani wanajulikana kwa ubaguzi wa tangi. Walipo tawala Tanganyika waliacha DNS’s sana. Bahati mbaya hakuna vitabu vingi vinavyoelezea maisha ya Watanganyika chini ya utawala wa Wajerumani.
Waliwezaje kuzaa na Watanganyika, walioa au ilikuwa subject of rape cases?
Nimekuelewa mkuu, kwani wakati ule Mjerumani asingeweza kusema ana mke mweusi.Walikuwa wanawarape tu na si kwa ridhaa yao.
Being black in Nazi Germany - BBC News
A new film explores the little-known story of Germany's mixed-race population in the 1930s and 1940s.www.bbc.co.uk
Ni sinema mpya inayo onayo onyesha msichana mweusi akiwa na school mate wake wazungu. Wajerumani wanajulikana kwa ubaguzi wa rangi. Walipo tawala Tanganyika waliacha DNS’s sana. Bahati mbaya hakuna vitabu vingi vinavyoelezea maisha ya Watanganyika chini ya utawala wa Wajerumani.
Waliwezaje kuzaa na Watanganyika, walioa au ilikuwa subject of rape cases?