Mara ana v8,mara yuko kwa Dadake amekataliwa na demu , mara Ana range, mara anatafuta fundi gari inagongagonga dah acheni uongo wadau mmezidi. Kwa wanao wafahamu watakuwa wamenielewa
Beira Boy
JF-Expert Member
Aman itawale kwenu wakuu
Kama kichwa cha habari kinavyosomeka hapo juu
Nimekuja kwenu kuomba ushaul wenu maana nyie wana jf ndo wanangu wa kufa na kuzikana
Nyie ndo ndugu zangu wa damu
Nimechoka kutumia V 8 sasa je ni gar gan nyingine inafaa kutumiwa ila iwe japo ya kuanzia milion mia nne kwenda juu
Japo mimi naifikilia sana Chevrolet
Je Chevrolet inafaa? Kweli wazee
Gari yangu ya kwanza kununua ilikuwa teza badae subaru lakin kwa sasa natumia V 8
Lakin nayo nimeichoka sasa basi ni gar gan nyingine ni nzur na inafaa kutumiwa na mtu kama mimi ambaye nimeichoka v 8
Ni hayo tu ndugu zangu
Ushaul wenu
LONDON BOY"nimejaribu kucopy maneno aliyosema katika thread yake"
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.