BEITO: Tumekusogezea huduma za Usafi na Urembo kiganjani mwako

FAJES

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2017
Posts
720
Reaction score
644



Kwa Wakazi wa Dar es Salaam; Hii si ya kukosa.

Fanya Booking ya Huduma ya Usafi au Urembo ukiwa Nyumbani kwako ama popote ulipo, na sisi tutakufuata hapo ulipo.

Popote ulipo, nasi Tupo. Hakuna tena haja ya kutumia muda mwingi wa kutafuta huduma za Urembo ama Usafi

Unaweza pia kufanya booking kupitia website yetu sasa.!

BEITO hakika ni suluhu ya hitaji lako.

Contact: + 255 742 417 677
Email: info@beitoint.co.tz
Bagamoyo Rd, Mwenge, ITV
Dar es Salaam
Tanzania.

--------------------------------------
UPDATES
..........................

Kwa sasa tumejikita kwenye kutoa huduma za usafi, fumigation na gardening pekee. Huduma ya urembo tumeisitisha kwa muda. Karibuni sana wadau wetu.
View attachment 1667679
 
Wekeni na huduma za massage
Ha ha haaa. Massage Mkuu bado tunafikiria. Changamoto ni kiwango chetu cha ustaarabu. Bado tinahofu badala ya kuwa ofisi yenye image nzuri kwa jamii isije badilika ikatazamwa kama chanzo cha udhalilishaji wa kijinsia. Massage nyumabni kwa mtu kupitia kampuni tutapaata taabu kweli. Tunaweza letewa kesi za manyanyaso ya kijinsia.
 
Kweli mkuu
 
Ni suluhu la hitaji lako na sio "suruhu ya hitaji" kama kuandika ni sheeda vip usafi mtaweza? Pili nipeni mchanganuo wa kusafisha banda langu la kuku na mbwa!
 
Mnanyoa kwa bei gan
 
Ni suluhu la hitaji lako na sio "suruhu ya hitaji" kama kuandika ni sheeda vip usafi mtaweza? Pili nipeni mchanganuo wa kusafisha banda langu la kuku na mbwa!
Nakushukuru mkuu kwa kunisahihisha.

Hayo mabanda ya kuku na mbwa yana ukubwa gani na unahitaji usafi wa mara moja tu au kila mwezi? Kama ni kila mwezi mara ngapi katika mwezi?
 
Pendezesha nyumba yako.!
 
Karibuni sana Wadau. Tuwahudumie.!
 
BEITO tunawatakia Mapumziko mema ya siku ya Mapinduzi ya Zanzibar!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…